• HABARI MPYA

        Friday, August 02, 2024

        AZAM FC WAWASILI KIGALI KUIVAA RAYON KESHO


        TIMU ya Azam FC imewasili salama Jijini Kigali nchini Rwanda kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji, Rayon Sport kesho kwenye tamasha la Rayon Sport Day Uwanja wa Kigali Pelé, Nyamirambo.
        GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: AZAM FC WAWASILI KIGALI KUIVAA RAYON KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry