// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ADOLF MTASINGWA BITEGEKO ASAINI MKATABA MPYA AZAM FC HADI 2027 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ADOLF MTASINGWA BITEGEKO ASAINI MKATABA MPYA AZAM FC HADI 2027 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, August 14, 2024

    ADOLF MTASINGWA BITEGEKO ASAINI MKATABA MPYA AZAM FC HADI 2027


    KIUNGO Adolf Mtasingwa Bitegeko (24) amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea na majukumu Azam FC hadi mwaka 2027.
    Adolf ni miongoni wachezaji waliopikwa katika akademi ya Azam FC, kabla ya mwaka Machi 2019 kwenda Icenald kujiunga na 
    KR Reykjavík hadi mwaka Oktoba mwaka huo akaenda Keflavík, Juni 1, 2020 akarejea KR Reykjavík, kabla ya kujiunga na Völsungur ÍF Februari mwaka 2021 ambako alipiga kazi hdi Janauri mwaka huu akarejea Azam FC. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ADOLF MTASINGWA BITEGEKO ASAINI MKATABA MPYA AZAM FC HADI 2027 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top