// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 08/01/2024 - 09/01/2024 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 08/01/2024 - 09/01/2024 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, August 31, 2024
    Thursday, August 29, 2024
    FOUNTAIN GATE YAICHAPA NAMUNGO FC 2-0 PALE PALE RUANGWA

    FOUNTAIN GATE YAICHAPA NAMUNGO FC 2-0 PALE PALE RUANGWA

    TIMU ya Fountain Gate imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanj...
    YANGA SC YAANZA NA USHINDI WA 2-0 UGENINI LİGİ KUU DHIDI YA KAGERA

    YANGA SC YAANZA NA USHINDI WA 2-0 UGENINI LİGİ KUU DHIDI YA KAGERA

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wameanza na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara U...
    KMC YAAMBULIA SARE KWA COASTAL UNION, 1-1 MWENGE

    KMC YAAMBULIA SARE KWA COASTAL UNION, 1-1 MWENGE

    WENYEJI, KMC wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Halmasha...
    Wednesday, August 28, 2024
    JKT TANZANIA NA AZAM FC HAKUNA MBABE, SARE 0-0 MBWENI

    JKT TANZANIA NA AZAM FC HAKUNA MBABE, SARE 0-0 MBWENI

    WENYEJI, JKT Tanzania wamelazimishwa sare ya bila mabao na Azam FC katika mchezo wa kwanza wa msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa tim...
    Monday, August 26, 2024
    SIMBA QUEENS YATUPWA NJE LİGİ YA MABINGWA AFRİKA CECAFA

    SIMBA QUEENS YATUPWA NJE LİGİ YA MABINGWA AFRİKA CECAFA

    TIMU ya Simba Queens imetupwa nje ya kinyang’anyiro cha tiketi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa mabao 3-2 na Polisi Bullets ya K...
    DICKSON JOB AREJESHWA TAIFA STARS MECHI ZA KUFUZU AFCON

    DICKSON JOB AREJESHWA TAIFA STARS MECHI ZA KUFUZU AFCON

    BEKİ wa Yanga, Dickson Nickson Job amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania Taifa, Taifa Stars kwa ajili ya Michezo miwili ya...
    Sunday, August 25, 2024
    MAKAMBO, DJUMA SHABANI WAFUNGA PENALTI TABORA UNITED YAICHAPA NAMUNGO 2-1

    MAKAMBO, DJUMA SHABANI WAFUNGA PENALTI TABORA UNITED YAICHAPA NAMUNGO 2-1

    TIMU ya Tabora United imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanj...
    COASTAL UNION YAUMALIZA MWENDO KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA MAPEMA TU

    COASTAL UNION YAUMALIZA MWENDO KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA MAPEMA TU

    TIMU ya Coastal Union imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya sare ya kufungana na Bravos do Maquis ya Angola leo ka...
    SIMBA SC YAIRARUA FOUNTAIN GATE 4-0 LEO KINONDONI

    SIMBA SC YAIRARUA FOUNTAIN GATE 4-0 LEO KINONDONI

    TIMU ya Simba imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Halmashau...
    Saturday, August 24, 2024
    SINGIDA BLACK STARS WAIKALISHA KAGERA SUGAER 1-0 PALE PALE KAITABA

    SINGIDA BLACK STARS WAIKALISHA KAGERA SUGAER 1-0 PALE PALE KAITABA

    TIMU ya Singida Black Stars leo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara...
    AZAM FC YATOLEWA, APR WAISUBIRI PYRAMIDS KUWANIA MAKUNDI

    AZAM FC YATOLEWA, APR WAISUBIRI PYRAMIDS KUWANIA MAKUNDI

    SAFARI ya Azam FC katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika imeishia mwanzoni tu baada ya leo kutolewa na wenyeji, APR kufuatia kuchapwa ma...
    YANGA SC YAICHAPA VITAL'O 6-0, KUCHEZA NA WAHABESHI KUWANIA MAKUNDI

    YANGA SC YAICHAPA VITAL'O 6-0, KUCHEZA NA WAHABESHI KUWANIA MAKUNDI

    MABINGWA wa mataji yote Tanzania, Yanga SC wamefanikiwa kufuzu Hatua ya 32 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa mabao 6-0 dhidi ...
    WAZIRI MWIGULU AIOMBA YANGA IMUACHIE KAGOMA ACHEZEE SIMBA

    WAZIRI MWIGULU AIOMBA YANGA IMUACHIE KAGOMA ACHEZEE SIMBA

    MLEZI wa klabu ya Singida Black Stars Mwigulu Lameck Nchemba ambaye pia ni Waziri wa Fedha na Mipango wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa ...
    PAMBA SULUHU YA PILI MFULULIZO NYUMBANI LEO BAADA YA KUPANDA LIGI KUU

    PAMBA SULUHU YA PILI MFULULIZO NYUMBANI LEO BAADA YA KUPANDA LIGI KUU

    TIMU ya Pamba Jiji FC imelazimishwa sare ya bila kufungana na Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwa...
    Friday, August 23, 2024
    MASHUJAA YAAMBULIA SULUHU KWA TZ PRISONS LAKE TANGANYIKA

    MASHUJAA YAAMBULIA SULUHU KWA TZ PRISONS LAKE TANGANYIKA

    WENYEJI, Mashujaa FC wamelazimishwa sare ya bila mabao na jirani zao, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uw...
    SIMBA QUEENS YATOA SARE, KUMENYANA NA POLISI YA KENYA NUSU FAINALI CECAFA

    SIMBA QUEENS YATOA SARE, KUMENYANA NA POLISI YA KENYA NUSU FAINALI CECAFA

    TIMU ya Simba Queens imekamilisha mechi zake za Kundi B Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati kwa sare ya kufungana mabao 2-2 na PVP Buyenzi...
    Thursday, August 22, 2024
    RAIS SAMIA AONGEA NA WADAU WAWILI WAKUBWA NCHINI WAZIFADHILI SIMBA NA YANGA

    RAIS SAMIA AONGEA NA WADAU WAWILI WAKUBWA NCHINI WAZIFADHILI SIMBA NA YANGA

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amesema kwamba amezungumza na wadau wawili wakubwa nchini ili wazisaidie ki...
    Wednesday, August 21, 2024
    AZAM FC YAIFUATA APR USIKU HUU SHUGHULI NI JUMAMOSI AMAHORO

    AZAM FC YAIFUATA APR USIKU HUU SHUGHULI NI JUMAMOSI AMAHORO

    KIKOSI cha Azam FC kinatarajiwa kuondoka Saa 9 usiku wa leo kwenda Kigali, nchini Rwanda kwa ajili ya mchezo wa marudiano Raundi ya Awali Li...
    SIMBA QUEENS YAWAPIGA WAGANDA 3-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI CECAFA

    SIMBA QUEENS YAWAPIGA WAGANDA 3-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI CECAFA

    TIMU ya Simba Queens imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Klabu Bingwa ya Wanawake Afrika Mashariki na Kati baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhid...
    Tuesday, August 20, 2024
    Monday, August 19, 2024
    ASHA MWALALA APIGA HAT-TRICK SIMBA QUEENS YASHINDA 5-0

    ASHA MWALALA APIGA HAT-TRICK SIMBA QUEENS YASHINDA 5-0

    TIMU ya Simba Queens imeanza vyema michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati kwa ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya FAD ya Djibouti katik...
    Sunday, August 18, 2024
    AZAM FC YAICHAPA APR 1-0 BAO LA BLANCO KWA PENALTI CHAMAZI

    AZAM FC YAICHAPA APR 1-0 BAO LA BLANCO KWA PENALTI CHAMAZI

    WENYEJI, Azam FC imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya APR ya Rwanda katika mchezo  wa kwanza Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika usiku wa...
    SIMBA SC YAANZA LIGI KWA KISHINDO, YAICHAPA TABORA UNITED 3-0

    SIMBA SC YAANZA LIGI KWA KISHINDO, YAICHAPA TABORA UNITED 3-0

    TIMU ya Simba SC imeanza vyema Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United leo Uwanja wa Halmashauri ...
    SINGIDA YAIKARIBISHA LİGİ KUU KEN GOLD, YAITANDIKA 3-1 PALE PALE SOKOINE

    SINGIDA YAIKARIBISHA LİGİ KUU KEN GOLD, YAITANDIKA 3-1 PALE PALE SOKOINE

    TIMU ya Singida Black Stars imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya wenyeji, Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanj...
    Saturday, August 17, 2024
    COASTAL UNION YACHAPWA 3-0 ANGOLA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

    COASTAL UNION YACHAPWA 3-0 ANGOLA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

    TIMU ya Coastal Union imejiweka njia panda katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuchapwa mabao 3-0 na wenyeji, Bravos do M...
    NGUSHI AFUNGA BAO PEKEE MASHUJAA YAILAZA DODOMA JIJI 1-0 KIGOMA

    NGUSHI AFUNGA BAO PEKEE MASHUJAA YAILAZA DODOMA JIJI 1-0 KIGOMA

    BAO pekee la mshambuliaji Crispin Ngushi Mhagama dakika ya 33 limeipa Mashujaa FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Li...
    DUBE, CHAMA NA AZIZ KI WAFUNGA YANGA YAWACHAPA VITAL'O 4-0 CHAMAZI

    DUBE, CHAMA NA AZIZ KI WAFUNGA YANGA YAWACHAPA VITAL'O 4-0 CHAMAZI

    MABINGWA wa Tanzania, Yanga SC wametanguliza mguu mmoja hatua ya 32 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Vita...
    Friday, August 16, 2024
    PAMBA FC WAAMBULIA SULUHU KWA PRISONS UFUNGUZI LİGİ KUU

    PAMBA FC WAAMBULIA SULUHU KWA PRISONS UFUNGUZI LİGİ KUU

    WENYEJI, Pamba Jiji FC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Tanzania Prisons katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara ...
    Thursday, August 15, 2024
    Wednesday, August 14, 2024
    Sunday, August 11, 2024
    YANGA WAICHAPA AZAM FC 4-1 NA KUTWAA NGAO YA JAMII

    YANGA WAICHAPA AZAM FC 4-1 NA KUTWAA NGAO YA JAMII

    MABINGWA wa Tanzania, Yanga wamefanikiwa kutwaa Ngao ya Jamii baada ya kutoka nyuma na kushinda mabao 4-1 dhidi ya Azam FC usiku huu Uwanja ...
    TANZANIA YAHITIMISHA ‘SALAMA’ USHIRIKI USHIRIKI WAKE OLIMPIKI YA PARIS

    TANZANIA YAHITIMISHA ‘SALAMA’ USHIRIKI USHIRIKI WAKE OLIMPIKI YA PARIS

    TANZANIA imehitimisha ushiriki wake kwenye Michezo ya Olimpiki ya mwaka huu bila kushinda Medali yoyote baada ya Wanariadha wake, Jackline J...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top