KLABU ya Yanga imemtambulisha kiungo wa Kimataifa wa Kenya, Duke Ooga Abuya (23) kutoka Singida Black Stars kwa mchezaji wake mpya wa sita kuelekea msmu ujao.
Wachezaji wengine wapya Yanga ni kipa Aboubakar Khomeini (25) kutoka Singida Black Stars pia zamani Ihefu SC na beki wa kushoto, Chadrack Issaka Boka (24) kutoka St Eloi Lupopo ya kwao, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC),
Wengine ni viungo Aziz Andambwile Mwambalaswa (24) kutoka Singida Big Stars, Mzambia, Clatous Chota Chama kutoka Simba na mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo kutoka Azam FC.
0 comments:
Post a Comment