// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA YASAJILI BEKİ WA KUSHOTO MKONGO KUTOKA ST ELOI LUPOPO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA YASAJILI BEKİ WA KUSHOTO MKONGO KUTOKA ST ELOI LUPOPO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, July 08, 2024

    YANGA YASAJILI BEKİ WA KUSHOTO MKONGO KUTOKA ST ELOI LUPOPO


    KLABU ya Yanga imemtambulisha beki wa kushoto, Chadrack Issaka Boka (24) kutoka St Eloi Lupopo ya kwao, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuwa mchezaji wake mpya kuelekea msimu ujao.
    Chadrack Issaka Boka anakuwa mchezaji mpya wa tatu tu Yanga baada ya kiungo Mzambia, Clatous Chota Chama kutoka Simba na mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo kutoka Azam FC.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA YASAJILI BEKİ WA KUSHOTO MKONGO KUTOKA ST ELOI LUPOPO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top