KLABU ya Yanga imemtambulisha kipa Aboubakar Khomeini (25) kutoka Singida Black Stars, zamani Ihefu SC kuwa mchezaji wake mpya kuelekea msimu ujao.
Huyo anakuwa mchezaji mpya wa nne baada ya beki wa kushoto, Chadrack Issaka Boka (24) kutoka St Eloi Lupopo ya kwao, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kiungo Mzambia, Clatous Chota Chama kutoka Simba na mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo kutoka Azam FC.
VIDEO: UTAMBULISHO WA KHOMEIN ABUBAKAR YANGA SC
0 comments:
Post a Comment