KLABU ya Yanga imemtambulisha mshambuliaji wa Kimataifa wa Zimbabwe, Prince Dube Mpumelelo (27) kuwa mchezaji wake wa pili tu mpya kutoka Azam FC kuelekea msimu ujao.
Mchezaji wa kwanza kutambulishwa kujiunga na Yanga ni kiungo mshambuliaji wa Kimataifa wa Zambia kutoka kwa watani wa jadi, Simba SC.
GONGA KUTAZAMA VIDEO YA UTAMBULISHO WA PRINCE DUBE
0 comments:
Post a Comment