Monday, July 08, 2024

    YANGA KUCHEZA NA KAIZER CHIEFS KOMBE LA TOYOTA JULAI 28 BLOEMFONTEIN


    KLABU ya Yanga inatarajiwa kucheza na wenyeji, Kaizer Chiefs FC katika mechi ya michuano ya Kombe la Toyota itakayochezwa Julai 28 Uwanja wa Toyota mjini Bloemfontein, Afrika Kusini.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA KUCHEZA NA KAIZER CHIEFS KOMBE LA TOYOTA JULAI 28 BLOEMFONTEIN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry