KIUNGO wa Azam FC, Yahya Zayd Omary (26), amefanyiwa upasuaji wa goti katika hospitali ya Life Vincent Pallotti Jijini Cape Town nchini Afrika Kusini na atakuwa nje kwa wiki sita.
Taarifa ya Azam FC imesema; "Kiungo wetu, Yahya Zayd, amefanyiwa upasuaji wa goti kutibu tatizo la 'Meniskasi' ya ndani na pembeni,".
0 comments:
Post a Comment