BEKI mpya wa kushoto wa Yanga SC, Chadrack Issaka Boka (24) aliyesajiliwa kutoka St Eloi Lupopo ya kwao, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) akifanyiwa vipimo vya afya kabla ya kuanza maandalizi ya msimu na klabu yake mpya.
GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment