• HABARI MPYA

        Sunday, July 14, 2024

        VIJANA SABA WA U20 WAPANDISHWA PRISONS KUBWA


        KLABU ya Tanzania Prisons imepandisha wachezaji saba kutoka timu yake ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara.
        Hao ni Kelvin Sengati, Ashraf Mbonde, Erick Mwambenja, Joah Mwakilema, Yohana Mgella, Evance Dalf na Ally Hamza.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: VIJANA SABA WA U20 WAPANDISHWA PRISONS KUBWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry