// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SINGIDA BIG STARS YAANZA VIBAYA KOMBE LA KAGAME, YAPIGWA 1-0 CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SINGIDA BIG STARS YAANZA VIBAYA KOMBE LA KAGAME, YAPIGWA 1-0 CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, July 10, 2024

    SINGIDA BIG STARS YAANZA VIBAYA KOMBE LA KAGAME, YAPIGWA 1-0 CHAMAZI


    TIMU ya Singida Big Stars jana ilianza vibaya michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame baada ya kuchapwa 1-0 na mabingwa wa zamani, APR ya Rwanda katika mchezo wa Kundi C Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
    Mechi ya Kundi C iliyotangulia jana, SC Villa ya Uganda iltoka sare ya bila kufungana na El Merriekh Bentiu ya Sudan Kusini.
    Mapema katika mechi za Kundi zilizotangulia, Coastal Union ilishinda 1-0 dhidi ya Dekadaha ya Somalia, bao pekee la kiungo Ramadhani Mwenda dakika ya 45, wakati Hay Al Wadi ya Sudan iliichapa JKU ya Zanzibar 1-0 bao pekee la Jebril Mohamed Uwanja wa KMC, Mwenge Jijini Dar es Salaam. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SINGIDA BIG STARS YAANZA VIBAYA KOMBE LA KAGAME, YAPIGWA 1-0 CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top