• HABARI MPYA

        Tuesday, July 23, 2024

        SIMBA SC KUMCHUKULIA HATUA KIBU DENNIS KWA UTORO


        KLABU ya Simba imesema itamchukulia hatua za kinidhamu kiungo wake mshambuliaji, Kibu Dennis Prosper kwa kutoripoti kambini tangu asaini mkataba mpya wa miaka miwili.

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SIMBA SC KUMCHUKULIA HATUA KIBU DENNIS KWA UTORO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry