MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga SC, Mzimbabwe Prince Dube Mpumelelo (katikati) aliyesajiliwa kutoka Azam FC akiwa na wachezaji wenzake wapya, mabeki Muivory Coast, Kouassi Attohoula Yao (kulia) na mzawa Nickson Clement Kibabage (kushoto) kwenye mazoezi ya gym leo baada ya nyota hao kuwasili kuanza maandalizi ya msimu mpya.
GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment