Friday, July 26, 2024

    MNYARWANDA ATAMBULISHWA RASMI MTENDAJI MKUU MPYA SIMBA SC


    KLABU ya imemtambulisha Uwayezu Francois Regis kutoka Rwanda kuwa Afisa Mtendaji Mkuu mpya akichukua nafasi ya Imani Kajula anayeachia ngazi mwisho wa mwezi huu.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MNYARWANDA ATAMBULISHWA RASMI MTENDAJI MKUU MPYA SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry