TIMU ya KMC imeibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Pensacola Christian College Eagles maarufu kama PCC Eagles ya Marekani katika mchezo wa hisani uliofanyika leo Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Mabao ya KMC inayomilikiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni yamefungwa na Ally Shaaban mawili, dakika ya 20 na 56, Kenny Ally mawili pia, dakika ya 25 na 44 na Oscar Paul dakika ya 80.
0 comments:
Post a Comment