VIUNGO wanyumbulifu wa Yanga, Muivory Coast, Peodoh Pacome Zouzoua (kulia), Mzambia Clatous Chota Chama (katikati) na Mburkinabe, Stephane Aziz Ki (Kushiro) wakijadiliana jambo leo wakati wa mazoezi ya timu hiyo Uwanja wa Avic Town, Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment