BEKI wa kushoto wa Yanga SC, Kibwana Ally Shomari (23) amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuitumikia klabu hiyo hadi mwaka 2026.
KIBWANA SHOMARI AONGEZA MKATABA YANGA HADI MWAKA 2026
BEKI wa kushoto wa Yanga SC, Kibwana Ally Shomari (23) amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuitumikia klabu hiyo hadi mwaka 2026.
0 comments:
Post a Comment