// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 'KAPTENI' OPA CLEMENT AJIUNGA NA HENAN FC YA LIGI KUU YA CHINA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 'KAPTENI' OPA CLEMENT AJIUNGA NA HENAN FC YA LIGI KUU YA CHINA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, July 30, 2024

    'KAPTENI' OPA CLEMENT AJIUNGA NA HENAN FC YA LIGI KUU YA CHINA


    MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Tanzania, Opah Clement Tukumbuke (23) amejiunga na timu ya Henan Wanxian Mountain WFC inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake China akitokea Beşiktaş ya Uturuki. 
    Nahodha wa timu ya taifa ya soka ya wanawake, ‘Twiga Stars’ anajiunga na timu hiyo baada ya uzoefu wa kucheza Ligi Kuu ya Uturuki katika klabu za Besiktas na Kayseri Kaddin.
    Pamoja na Opa, imesajili wachezaji wengine wapya watatu kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao wa Ligi ya Wanawake China – wengine ni Zhijie, Chen Lingling na Zhang Wei.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: 'KAPTENI' OPA CLEMENT AJIUNGA NA HENAN FC YA LIGI KUU YA CHINA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top