AFISA Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba, Imani Kajula amejiuzulu nafasi hiyo baada ya kipindi cha mwaka mmoja na nusu tangu apewe wadhifa huo.
Imani Kajula aliteuliwa kuwa Mtendaji Mkuu wa Simba SC Januari akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Barbara Gonzalez aliyejiuzulu Desemba mwaka 2022 kwa notisi ya mwezi mmoja na kuondoka madarakani Januari mwaka jana.
0 comments:
Post a Comment