// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); DODOMA JIJI YAICHAPA SINGIDA BLACK STARS 2-1 ARUSHA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE DODOMA JIJI YAICHAPA SINGIDA BLACK STARS 2-1 ARUSHA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, July 27, 2024

    DODOMA JIJI YAICHAPA SINGIDA BLACK STARS 2-1 ARUSHA


    TIMU ya Dodoma Jiji FC leo imetoka nyuma na kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida Black Stars katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na  msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.
    Mabao ya Dodoma Jiji FC yamefungwa na wachezaji wapya, kiungo Ibrahim Ajibu Migomba aliyesajiliwa kutoka Coastal Union dakika ya 52 na Reliants Lusajo Mwakasugule aliyesajiliiwa kutoka Mashujaa ya Kigoma baada ya beki Augustino Samson Nsata kuanza kujifunga dakika ya 14 kuitanguliza Singida Black Stars. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DODOMA JIJI YAICHAPA SINGIDA BLACK STARS 2-1 ARUSHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top