Friday, July 05, 2024

    BENCHI JIPYA LA UFUNDI SIMBA SC NI WASAUZI WATUPU

    KOCHA mpya wa Simba SC amekuja na safu yake nzima ya Wasaisizi, wote raia wenzake wa Afrika Kusini, Kocha Msaidizi, Darian Wilken, Kocha wa Makipa, Wayne Sandilands, Kocha wa Fitness, Riedoh Berdien na Mchambuzi, Mueez Kajee.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BENCHI JIPYA LA UFUNDI SIMBA SC NI WASAUZI WATUPU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry