// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BEKI WA YANGA PRINCESS AJIUNGA NA TIMU YA ISRAEL - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BEKI WA YANGA PRINCESS AJIUNGA NA TIMU YA ISRAEL - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, July 30, 2024

    BEKI WA YANGA PRINCESS AJIUNGA NA TIMU YA ISRAEL


    BEKİ chipukizi wa Kimataifa wa Tanzania, Noela Patrick Luhala (18) amejiunga na klabu ya ASA Tel Aviv WFC ya Ligi Kuu ya Wanawake Israel akitokea Yanga Princess ya nyumbani, Dar es Salaam.
    Noela ni kati ya wachezaji waliokuwa kwenye kikosi cha Tanzania kilichoshiriki Fainali za Kombe la Dunia za mabinti chiniya umri wa miaka17 'Serengeti Girls' mwaka 2022 nchini India.
    Nchini India 2022 Serengeti Girls ilipangwa Kundi D ambako ilimaliza nafasi ya pili kwa pointi zake nne nyuma ya Japan iliyovuna pointi tisa na mbele ya Canada iliyoambulia pointi mbili na Ufaransa pointi moja, kabla ya kwenda kutolewa na katika Robo Fainali kwa kuchapwa 3-0.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BEKI WA YANGA PRINCESS AJIUNGA NA TIMU YA ISRAEL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top