KIUNGO mshambuliaji wa Kimataifa wa Burkina Faso amesema hana mpango wa kuachana na klabu ya Yanga licha ya ofa kadhaa na tamu kutoka klabu mbalimbali.
Yanga imepost video fupi ya Aziz Ki akiwa mwenye furaha na kusema; “Hello Wananchi, I’m still here”, akimaanisha anabaki Yanga.
VIDEO: AZIZ AKIZUNGUMZIA MUSTAKABALI WAKE YANGA
0 comments:
Post a Comment