TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya wenyeji, Zimamoto katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
Mabao ya Azam FC yamefungwa na kiungo Feisal Salum
Abdallah ‘Fei Toto’ dakika ya 34 na 58 na mshambuliaji Mcolimbia, Jhonier Alfonco Blanco Yus mawili pia dakika za 37 na ka penaltı dakika ya 82.
Azam FC imeweka kambi ya awali visiwani Zanzibar, kabla ya kwenda Morocco wiki ijayo kwa kambi ya wiki mbili kujiandaa na msimu mpya.
GONGA KUTAZAMA VIDEO ZA MABAO
0 comments:
Post a Comment