• HABARI MPYA

        Tuesday, June 18, 2024

        TIMU TANO ZAZUIWA KUSAJILI WACHEZAJI WAPYA YANGA IKIWEMEO


        PAMOJA na dirisha la usajili kwa timu za Ligi Kuu ya NBC Tanzania na madaraja ya chini kwa wanawake na wanaume kufunguliwa Juni 15 - lakini klabu za Biashara United, Fountain Gate Talents FC, Singida Black Stars, Tabora United na Yanga SC hazitaruhusiwa kusajili hadi ziwalipe wachezaji wanaozidai.

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: TIMU TANO ZAZUIWA KUSAJILI WACHEZAJI WAPYA YANGA IKIWEMEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry