// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
SHIME AITA 20 TWIGA STARS YA KUCHEZA NA TUNISIA YANGA PRINCESS HAKUNA HATA MMOJA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINESHIME AITA 20 TWIGA STARS YA KUCHEZA NA TUNISIA YANGA PRINCESS HAKUNA HATA MMOJA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
SHIME AITA 20 TWIGA STARS YA KUCHEZA NA TUNISIA YANGA PRINCESS HAKUNA HATA MMOJA
KOCHA Bakari Nyundo Shime ameita wachezaji 20 kuunda kikosi cha timu ya Taifa ya wanawake, Twiga Stars kwa ajili ya michezo miwili ya kirafiki dhidi ya Tunisia na Botswana mapema mwezi ujao. Katika kikosi hicho kitakachoingia kambini Julai 1 hakuna hata mchezaji mmoja wa Yanga Princess, huku mabingwa Simba Queens wakiwa na wachezaji wawili pekee. JKT Queens imeendelea kuwa klabu yenye wachezaji wengi zaidi Twiga Stars, saba huku wengine wakitoka Alliance Girls, Bunda Queens na Amani Queens mmoja kila timu, wakati wengine ni wanaocheza klabu mbalimbali nje ya Tanzania.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment