• HABARI MPYA

        Tuesday, June 25, 2024

        REFRESHER KOZI YA USAJILI KUFANYIKA KESHO BENJAMİN MKAPA


        SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kesho litaendesha Kozi ya Uboreshani (Refresher) ya usajili na uhamisho wa wachezaji yatakayofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: REFRESHER KOZI YA USAJILI KUFANYIKA KESHO BENJAMİN MKAPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry