• HABARI MPYA

        Tuesday, June 04, 2024

        RASMI MBAPPE NI MALI YA REAL MADRID HADI MWAKA 2029


        RASMI, klabu ya Real Madrid imemtambulisha mshambuliaji Mfaransa mwenye asili ya Cameroon, Kylian Mbappé Lottin kuwa mchezaji wake mpya kwa miaka mitano ijayo.
        Taarifa ya Real Madrid imesema; “Real Madrid imefikia makubaliano na Kylian Mbappé kwamba atakuwa mchezaji wa Real Madrid kwa misimu mitano ijayo,”.
        Mapema Mbappe alipost picha akiwa na vazi la Real Madrid alipokuwa mdogo na nyingine akiwa amepiga na nyota wa zamanı wa klabu hiyo. Mreno Cristiano Ronaldo.
        PICHA: MBAPPE AKIWA GWIJI WA REAL MADROD CRISTIANO RONALDO
        VIDEO: REAL MADRID ILIVYOMTAMBULISHA MBAPPE
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: RASMI MBAPPE NI MALI YA REAL MADRID HADI MWAKA 2029 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry