• HABARI MPYA

    Tuesday, June 18, 2024

    MTAALAMU SAIDO NTIBANZOKIZA AHITIMISHA UTUMISHI WAKE SIMBA SC


    KIUNGO wa Kimataifa wa Burundi, Saido Ntibanzikoza (40) amekuwa mchezaji wa pili kuachwa Simba SC baada ya msimu mmoja na nusu wa kuitumikia timu kwa mafanikio.
    Ntibanzokiza alijiunga na Simba Januari mwaka jana akitokea Geita Gold kwa misimu yote miwili amekuwa mfungaji bora wa timu.
    Mchezaji wa kwanza kuachwa Simba ni Nahodha wa timu kwa mafanikio kwa misimu kadhaa, John Raphael Bocco (34) aliyejiunga na timu hiyo mwaka 2017 akitokea Azam FC.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MTAALAMU SAIDO NTIBANZOKIZA AHITIMISHA UTUMISHI WAKE SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top