MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba, Mohamed Gullam Dewji ameunda Bodi ya Wakurugenzi akiwarejesha vigogo wa kundi la Friends Of Simba.
Akitangaza Bodi hiyo usiku huu, Dewji amewataja Wajumbe aliowateua ni Salum Abdallah Muhene 'Try Again', Salum Kitta, Crescentius John Magori, Mohamed Nassor, Zulfikar Chandu na Rashid Shangazi (Mbunge).
VIDEO: MO DEWJI AKITANGZA WAJUMBE WA BODI SIMBA SC
0 comments:
Post a Comment