• HABARI MPYA

        Wednesday, June 19, 2024

        MIQUISSONE NAYE KAFUPISHIWA MWENDO MSIMBAZI


        KİUNGO wa Kimataifa wa Msumbiji, Luis Jose Miquissone amekuwa mchezaji wa nne kuachwa Simba SC baada ya kiungo mwenzake, Mrundi Saido Ntibanzokiza na washambuliaji, Shaaban Iddi Chilunda na John Raphael Bocco.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MIQUISSONE NAYE KAFUPISHIWA MWENDO MSIMBAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry