‘MADOGO’ WA YANGA WACHAPA ‘SIMBA MTOTO’ 2-1 CHAMAZI
TIMU ya Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Yanga yamefungwa na Chitunzi Masaka dakika ya 64 na Hamisi Iddi dakika ya 67, wakati bao pekee la Simba limefungwa na Athumani Iddi dakika ya 61. Katika mchezo uliotangulia mchana Azam FC iliibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Tanzania bao pekee la Rashid Abdallah hapo hapo Azam Complex.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment