• HABARI MPYA

        Monday, June 24, 2024

        KIKOSI CHA MZIZIMA UNITED 1965 ENZI ZA TAIFA CUP


        KIKOSI cha timu ya soka ya Kombaini ya Mkoa wa Dar es Salaam ‘Mzizima United’ kabla ya moja ya mechi zake za Kombe la Taifa mwaka 1965, michuano ambayo awali ilikuwa inajulikana kama Sunlight Cup.
        Kutoka kulia waliosimama ni; marehemu Athuman Kilambo (Yanga), marehemu Mussa Libabu (Sunderland/Simba), Mustafa Choteka (Sunderland/Simba), marehemu Abdulrahman Lukongo (Yanga/Cosmo) Gilbert Mahinya (Sunderland/Simba/Yanga), marehemu Ally Kajo (Sunderland/Simba).
        Waliochuchumaa kutoka kulia ni Hamisi Kilomoni (Sunderland/Simba), marehemu Badi Saleh (Yanga), marehemu Mohammed Msomali (Yanga/Cosmo), marehemu Maulid Dilunga (Yanga), marehemu Mbaraka Salum Magembe (Sunderland/Simba), Kitwana Manara (Cosmo/Yanga) na marehemu Abdallah Aziz (JWTZ).
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: KIKOSI CHA MZIZIMA UNITED 1965 ENZI ZA TAIFA CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry