• HABARI MPYA

    Tuesday, June 25, 2024

    HAKİMİ AKABIDHIWA JEZI YA YANGA YENYE JINA LAKE


    RAIS wa Yanga SC, Hersi Said akimkabidhi jezi ya timu hiyo mgeni wake, beki wa Mmorocco mzaliwa wa Hispania, Achraf Hakimi Mouh anayechezea klabu ya  Paris Saint-Germain ya Ufaransa ambaye yupo nchini kwa ziara ya wiki moja tangu juzi.
    Hakimi ameambatana na rafiki zake saba ambao kwa pamoja watakuwa nchini kwa wiki moja na mwenyeji wao, Hersi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Klabu Afrika (ACA) kutembelea vivutio mbali mbali vya kiutalii nchini.
    GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HAKİMİ AKABIDHIWA JEZI YA YANGA YENYE JINA LAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top