• HABARI MPYA

        Saturday, June 15, 2024

        FOUNTAIN GATE YAVUNJA BENCHI ZIMA LA UFUNDI CHINI YA NGAWINA


        KLABU ya Fountain Gate FC imevunja benchi lake lote la Ufundi chini ya Kocha Mkuu, Ngawina Ramadhani Ngawina baada ya kumalizika kwa msimu wa 2023 -2024.


        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: FOUNTAIN GATE YAVUNJA BENCHI ZIMA LA UFUNDI CHINI YA NGAWINA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry