• HABARI MPYA

        Wednesday, June 26, 2024

        FIFA YAIRUHUSU YANGA SC KUSAJILI WACHEZAJI WAPYA


        SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeifutia Yanga SC adhabu ya kutosajili mchezaji mpya baada ya kukamilisha malipo ya mshambuliaji wake wa zamani, Mzambia Lazarous Kambole.

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: FIFA YAIRUHUSU YANGA SC KUSAJILI WACHEZAJI WAPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry