• HABARI MPYA

    Saturday, June 29, 2024

    AZAM FC YARIDHIA PRINCE DUBE KUONDOKA BAADA YA KUKAMILISHA TARATIBU


    KLABU ya Azam FC imeridhia kuondoka kwa mshambuliaji wake Mzimbabwe, Prince Mpumelelo Dube (27) kufuatia kukamilisha taratibu za kuvunja mkataba wake.
    Dube alijiunga na Azam FC Agosti mwaka 2020 akitokea The Highlanders ya kwao, Bulawayo baada ya awali kuzitumikia SuperSport United na Black Leopards kwa vipindi tofauti.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC YARIDHIA PRINCE DUBE KUONDOKA BAADA YA KUKAMILISHA TARATIBU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top