• HABARI MPYA

        Thursday, June 27, 2024

        AZAM FC YAONGEZA MBRAZIL KWENYE BENCHI LA UFUNDI


        KLABU ya Azam FC imemtambulisha Mbrazil, Romulo De Oliveira Freitas (46) kuwa Mtaalamu wake mpya wa Matibabu ya Viungo kwa Wachezaji wake kwa mkataba wa mwaka mmoja.
        GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: AZAM FC YAONGEZA MBRAZIL KWENYE BENCHI LA UFUNDI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry