• HABARI MPYA

    Friday, June 14, 2024

    AZAM, COASTAL, SIMBA NA YANGA ZATAKIWA KUKAMILISHA JAMBO CAF


    KLABU za Azam FC, Coastal Union, Simba na Yanga zinatakiwa kuwa zimetuma maombi ya leseni za klabu kwa ajili ya ushiriki wao kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho hadi kufika Juni 15, mwaka huu.



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM, COASTAL, SIMBA NA YANGA ZATAKIWA KUKAMILISHA JAMBO CAF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top