• HABARI MPYA

        Monday, June 24, 2024

        ACHRAF HAKİMİ WA PSG MGENI WA RAIS WA YANGA SC


        RAIS wa Yanga SC, Hersi Said akiwa na mgeni wake, beki wa Mmorocco mzaliwa wa Hispania, Achraf Hakimi Mouh anayechezea klabu ya  Paris Saint-Germain ya Ufaransa baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege was Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).
        Hakimi ameambatana na rafiki zake saba ambao kwa pamoja watakuwa nchini kwa wiki moja na mwenyeji wao, Hersi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Klabu Afrika (ACA) kutembelea vivutio mbali mbali vya kiutalii nchini.
        GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: ACHRAF HAKİMİ WA PSG MGENI WA RAIS WA YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry