
Sunday, June 30, 2024

ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Yanga SC, Yussuf Mehboob Manji amefariki dunia mapema leo nchini Marekani alipkwenda kwa matibabu.
UJERUMANI NA USWISI ZATINGA ROBO FAINALI EURO 2024, ITALIA 'OUT'
Sunday, June 30, 2024
TIMU za Uswisi na wenyeji, Ujerumani jana wamefanikiwa kwenda Hatua ya Robo Fainali za Kombe la Mataifa ya Ulaya, Euro 2024 baada ya kuzitoa...
AZAM FC YASAJILI KIUNGO ALIYECHEZA LIGI ZA MISRI, SERBIA NA CZECH
Sunday, June 30, 2024
KLABU ya Azam FC imemtambulisha kiungo mshambuliaji, Nassor Saadun Hamoud (23) kuwa mchezaji wake mpya wa sita kuekelea msimu ujao. Taarifa ...
YANGA SC YASHINDA 4-1 NA KUTWAAA KOMBE LA SAFARI LAGER
Sunday, June 30, 2024
MABINGWA wa Tanzania, Yanga SC jana walifanikiwa kutwaa taji la Safari Lager Cup baada ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Kombaini ya Safari ...
Saturday, June 29, 2024
AZAM FC YARIDHIA PRINCE DUBE KUONDOKA BAADA YA KUKAMILISHA TARATIBU
Saturday, June 29, 2024
KLABU ya Azam FC imeridhia kuondoka kwa mshambuliaji wake Mzimbabwe, Prince Mpumelelo Dube (27) kufuatia kukamilisha taratibu za kuvunja mka...
Friday, June 28, 2024
SIMBA DAY NI AGOSTI 3 KIKOSI KIKITOKEA KAMBINI MISRI
Friday, June 28, 2024
TAMASHA la kutangaza kikosi kipya cha Simba maarufu kama Simba Day litafanyika Agosti 3, wakati kikosi kitaingia kambini mapema tu Julai nc...
TABORA UNITED, BIASHARA UNITED ZATOZWA MAMILIONI
Friday, June 28, 2024
KLABU za Tabora United na Biashara United zimetozwa Faini kwa makosa mbalimbali ikiwemo vurugu za mashabiki na ukiukaji wa kanuni katika mec...
BAKHRESA GROUP | FAHARI YETU EPISODE 1-8
Friday, June 28, 2024
Thursday, June 27, 2024
AZAM FC YAONGEZA MBRAZIL KWENYE BENCHI LA UFUNDI
Thursday, June 27, 2024
KLABU ya Azam FC imemtambulisha Mbrazil, Romulo De Oliveira Freitas (46) kuwa Mtaalamu wake mpya wa Matibabu ya Viungo kwa Wachezaji wake kw...
NYOTA WA PSG, HAKIMI ATOA MISAADA ZAIDI YA SH. BILIONI 1 TANZANIA
Thursday, June 27, 2024
BEKI wa kimataifa wa Morocco anayechezea klabu ya PSG, Archraf Hakimi leo ametoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa wanafunzi zaidi ya 400 we...
SHIME AITA 20 TWIGA STARS YA KUCHEZA NA TUNISIA YANGA PRINCESS HAKUNA HATA MMOJA
Thursday, June 27, 2024
KOCHA Bakari Nyundo Shime ameita wachezaji 20 kuunda kikosi cha timu ya Taifa ya wanawake, Twiga Stars kwa ajili ya michezo miwili ya kirafi...
UTURUKI NA GEORGIA NAZO ZAFUZU HATUA YA 16 BORA EURO 2024
Thursday, June 27, 2024
TIMU za Uturuki na Georgia zimefanikiwa kufuzu Hatua ya 16 Bora Kombe la Mataifa ya Ulaya ‘Euro 2024’ baada ya ushindi katika mechi zao za K...
Wednesday, June 26, 2024
FIFA YAIRUHUSU YANGA SC KUSAJILI WACHEZAJI WAPYA
Wednesday, June 26, 2024
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeifutia Yanga SC adhabu ya kutosajili mchezaji mpya baada ya kukamilisha malipo ya mshambuliaji wa...
AUSTRIA YAITOA UHOLANZI EURO 2024, ENGLAND NA UFARANSA ZATOA DROO ZAFUZU
Wednesday, June 26, 2024
TIMU ya Austria imefanikiwa kufuzu Hatua ya 16 Bora Kombe la Mataifa ya Ulaya ‘Euro 2024’ baada ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Uholanzi ka...
Tuesday, June 25, 2024
KIBU D ‘MKANDAJI’ MALI YA SIMBA SC HADI 2026
Tuesday, June 25, 2024
KIUNGO mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Kibu Denis Prosper (25) amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuichezea klabu ya Sim...
HAKİMİ AKABIDHIWA JEZI YA YANGA YENYE JINA LAKE
Tuesday, June 25, 2024
RAIS wa Yanga SC, Hersi Said akimkabidhi jezi ya timu hiyo mgeni wake, beki wa Mmorocco mzaliwa wa Hispania, Achraf Hakimi Mouh anayechezea ...
REFRESHER KOZI YA USAJILI KUFANYIKA KESHO BENJAMİN MKAPA
Tuesday, June 25, 2024
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kesho litaendesha Kozi ya Uboreshani (Refresher) ya usajili na uhamisho wa wachezaji yatakayofanyika Uwanj...
ISRAEL PATRICK MWENDA AONGEZA MKATABA SIMBA SC
Tuesday, June 25, 2024
BEKI Israel Patrick Mwenda (24) anayeweza kucheza kama kiungo mshambuliaji, amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuichezea Simba ...
UMAKINI DARASANI, STEVE NYENGE KWENYE REFRESHER KOZI YA CAF TANGA
Tuesday, June 25, 2024
KIUNGO wa zamani wa Kimataifa wa Tanzania, Steven Nyenge akisikiliza kwa makini mafundisho ya Kozi ya Maboresho (Refresher) ya Diploma B ya ...
MZAMIRU YASSIN AONGEZA MKATABA MPYA SIMBA SC HADI MWAKA 2026
Tuesday, June 25, 2024
KIUNGO Mzamiru Yassin Selemba (28) amesaini mkataba wa mpya wa miaka miwili kuendelea na kazi Simba SC hadi mwaka 2026. Rasmi, Mzamiru anaku...
ITALIA YAIPOKONYA TONGE MDOMONI DAKIKA YA MWISHO EURO 2024
Tuesday, June 25, 2024
MABINGWA watetezi, italia wamefanikiwa kutinga hatua ya 16 Bora Kombe la Mataifa Ulaya 'Euro 2024' licha ya sare ya 1-1 na Croatia k...
Monday, June 24, 2024
LİGİ KUU YA SUDAN KUFANYIKA CHAMAZI KESHO HADİ MWISHO WA MWEZI
Monday, June 24, 2024
MICHUANO maalum ya Ligi Kuu ya Sudan inatarajiwa kufanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijiji Dar es Salaam kuanzia kesho hadi Juni 30 i...
SIMBA SC YATANGAZA RASMI KUACHANA NA HENOCK INONGA BAKA ‘VARANE’
Monday, June 24, 2024
KLABU ya Simba imeachana na beki wa Kimataifa was Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Henock Inonga Baka ‘Varane’ baada ya kuwatumikia W...
MBWANA MAKATTA KOCHA MPYA WA TANZANIA PRISONS
Monday, June 24, 2024
KLABU ya Tanzania Prisons imemtambulisha Mbwana Makatta kuwa Kocha wake mpya Mkuu kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara. Maka...
ACHRAF HAKİMİ WA PSG MGENI WA RAIS WA YANGA SC
Monday, June 24, 2024
RAIS wa Yanga SC, Hersi Said akiwa na mgeni wake, beki wa Mmorocco mzaliwa wa Hispania, Achraf Hakimi Mouh anayechezea klabu ya Paris Saint...
KIKOSI CHA MZIZIMA UNITED 1965 ENZI ZA TAIFA CUP
Monday, June 24, 2024
KIKOSI cha timu ya soka ya Kombaini ya Mkoa wa Dar es Salaam ‘Mzizima United’ kabla ya moja ya mechi zake za Kombe la Taifa mwaka 1965, mich...
UJERUMANI YAMALIZA MECHI ZA KUNDI LAKE KWA SARE
Monday, June 24, 2024
WENYEJ, Ujerumani wamekamilisha mechi zao za Kundi A kwa sare ya kufungana bao 1-1 na Uswisi usiku wa Jumapili Uwanja wa Frankfurt Arena Jij...
SIMBA SC KUWEKA KAMBI MISRI KUJIANDAA NA MSIMU MPYA
Monday, June 24, 2024
KIKOSI cha Simba kinatarajiwa kuondoka nchini mapema Julai kwenda kuweka kambi katika Jiji la Ismailia nchini Misri kujiandaa na msimu mpya ...
Sunday, June 23, 2024
AZAM FC YAACHA WACHEZAJI WANNE ‘KWA MPIGO’ WAMO WAGENI WAWILI
Sunday, June 23, 2024
KLABU ya Azam FC imeachana na wachezaji wake wanne ambao ni mabeki Msenegal, Malickou Ndoye, Edward Charles Manyama na viungo, Ayoub Reuben ...
UBELGIJI YAZINDUKA, URENO YAENDELEZA UBABE EURO 2024 RONALDO 'WA MOTO'
Sunday, June 23, 2024
UBELGIJI imezinduka jana baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Romania katika mchezo wa Kundi E Kombe la Mataifa ya Ulaya, Euro 2024...
Saturday, June 22, 2024
OPA CLEMENT: SIFIKIRII KURUDI UTURUKI, NINA OFA SEHEMU NYINGINE
Saturday, June 22, 2024
MSHAMBULIAJI wa kike wa Kimataifa wa Tanzania, Opa Clement Tukumbuke amesema kwamba hafikirii kurudi klabu ya Besiktas ya Uturuki kwa sababu...
DK. TANDAU AZUNGUMZIA USHIRIKI WA TANZANIA OLIMPIKI YA PARIS 2024
Saturday, June 22, 2024
MAKAMU wa Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Dk. Henry Tandau amesema ana matumaini ya Wanariadha wa Tanzania kufanya vyema kwenye M...
CLARA LUVANGA: NILIUMIA KUSHUTUMIWA MIMI MWANAUME
Saturday, June 22, 2024
MSHAMBULIAJI wa kike wa kimataifa wa Tanzania, Clara Cleitus Luvanga (19) anayechezea klabu ya Al Nassr ya Ligi Kuu ya Wanawake Saudi Arabia...
TEAM JOB 'WAIFINYANGA FINYANGA' TEAM KIBWANA MECHI YA HISANI MOROGORO,
Saturday, June 22, 2024
MECHI ya kirafiki ya Hisani baina ya mebeki wa Yanga, Kibwana Shomari dhidiya Dickson Job na rafiki zao imemalizika kwa Team Job kuibuka na ...
UHOLANZI NA UFARANSA ZATOSHANA NGUVU, AUSTRIA NA UKRAINE ZASHINDA
Saturday, June 22, 2024
TIMU za Uholanzi na Ufaransa jana zimegawana pointi baada ya sare ya bila mabao katika mchezo wa Kundi D Kombe la Mataifa ya Ulaya 'Euro...
Friday, June 21, 2024
HISPANIA YAWACHAPA MABINGWA ITALI NA KUSONGA MBELE
Friday, June 21, 2024
TIMU ya Taifa ya Hispania imefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Kombe la Mataifa ya Ulaya baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya mabingwa watetezi, ...
Thursday, June 20, 2024
CSKA MOSCOW WATUA YANGA KWA ZOEZI MAALUM
Thursday, June 20, 2024
KLABU ya Yanga leo imepokea ugeni wa Maafisa wa klabu ya CSKA Moscow ya Urusi ambao wamekuja kuendesha programu maalumu ya kutambua vipaji...
SIMBA SC YATAMBULISHA MKALI MPYA WA KWANZA, NI LAWI WA COASTAL
Thursday, June 20, 2024
KLABU ya Simba SC imemtambulisha beki wa katı, Lameck Elias Lawi (18) kutoka Coastal Union ya Tanga kuwa mchezaji wake wa kwanza mpya kuelek...
KENNEDY JUMA NAYE APEWA MKONO WA KWAHERI SIMBA SC
Thursday, June 20, 2024
KLABU ya Simba SC imeendelea kuutambulisha Wachezaji inayoachana nao baada ya msimu na safari hii ni beki wa katı, Kennedy Wilson Juma Ambas...
AZAM FC YAACHANA NA BEKİ MGHANA DANIEL AMOAH
Thursday, June 20, 2024
KLABU ya Azam FC imeachana na beki wake Mghana, Daniel Amoah (26) baada ya kuitumikia klabu kwa miaka nane tangu alipowasili kutoka Medeama ...
UJERUMANI YASONGA KWENYE MTOANO EURO 2024
Thursday, June 20, 2024
WENYEJI, Ujerumani wamefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Kombe la Mataifa ya Ulaya, Euro 2024 baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Hungary...
Wednesday, June 19, 2024
MANGUNGU ATEUA ‘MJUMBE MZITO’ KUINGIA KWENYE BODI SIMBA SC
Wednesday, June 19, 2024
Dk. Kailima Ramadhani Kombwey (kulia) ni mtumishi wa muda wa mrefu wa Serikali tangu awamu ya nne chini ya Rais Dk. Jakarta Mrisho Kikwete (...
PAMBA YAVUNJA BENCHI NA TIMU NZIMA, KOPUNOVIC KUUNDA KIKOSI KIPYA
Wednesday, June 19, 2024
TIMU ya Pamba Jiji FC imevunja benchi zima la Ufundi chini ya kocha mzawa aliyewapandisha Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Mbwana Makatta na k...
MIQUISSONE NAYE KAFUPISHIWA MWENDO MSIMBAZI
Wednesday, June 19, 2024
KİUNGO wa Kimataifa wa Msumbiji, Luis Jose Miquissone amekuwa mchezaji wa nne kuachwa Simba SC baada ya kiungo mwenzake, Mrundi Saido Ntiban...
SHAABAN CHILUNDA NAYE AONYESHWA GETI LA KUTOKEA SIMBA SC
Wednesday, June 19, 2024
MSHAMBULIAJI Shaaban Iddi Chilunda amekuwa mchezaji wa tatu kuachwa na klabu ya Simba SC baada ya kumalizika msimu ikishika nafasi ya tatu k...
Subscribe to:
Posts (Atom)