TIMU ya soka ya taifa ya wanawake, Twiga Stars leo imetoka sare ya kufungana mabao 2-2 na Mali katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam. Katika mchezo uliotangulia jioni ya leo Sudan Kusini iliichapa Shelisheli 5-1 hapo hapo Azam Complex. Mechi za kwanza juzi, Mali iliichapa Shelisheli 9-0 na Tanzania iliichapa Sudan Kusini 3-0 hapo hapo Azam Complex. Mechi zijazo, Tanzania itacheza na Shelisheli na Mali dhidi ya Sudan Kusini.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment