TIMU ya soka ya taifa ya wanawake, Twiga Stars leo imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Sudan Kusini katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Twiga Stars inayofundishwa na Kocha Bakari Nyundo Shime yamefungwa na washambuliaji, Opah Clement Tukumbuke Sanga wa Beşiktaş ya Uturuki na Aisha Khamis Masaka BK Hacken ya Sweden mawili. Katika mchezo mwingine uliotangulia jioni ya leo, Mali iliikung’uta Shelisheli 9-0 hapo hapo Azam Complex.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment