NI AHLY MABINGWA TENA AFRIKA, WAICHAPA ESPERANCE 1-0 CAIRO
TIMU ya Al Ahly imefanikiwa kutwaa tena taji la Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Espérance Sportive de Tunis katika mchezo wa marudiano wa Fanali usiku huu Uwanja wa Cairo International Jijini Cairo nchini Misri. Bao pekee la Al Ahly amejifunga kiungo Mtogo, Roger Ben Boris Aholou dakika ya nne akijaribu kuokoa. Ikumbukwe mechi ya kwanza timu hizo kutoa sare ya bila mabao Mei 18 Uwanja wa Olympique Hammadi Agrebi Jijini Radès nchini Tunisia. Kwa kutwaa taji hilo la 12 la Ligi ya Mabingwa, Al Ahly watazawadiwa dola za Kimarekani Milioni 4, wakati Esperance watapata dola Milioni 2.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment