TIMU ya KMC imelazimishwa sare ya bila mabao na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam. Kwa matokeo hayo, KMC inafikisha pointi 33 katika mchezo wa 25 ingawa na inabaki nafasi ya tano ikizidiwa tu wastani wa mabao Coastal Unión ambayo pia ina mechi moja mkononi. Kwa upande wao Kagera Sugar wanafikisha pointi 30 katika mchezo wa 25 nafasi ya saba.
Sporting sack Amorim successor Pereira
-
Sporting have appoint Rui Borges as head coach following the sacking of
Joao Pereira, who spent just over a month in charge of the Portuguese club
after Ru...
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment