// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
CHELSEA YAICHAPA TOTTENHAM HOTSPUR 2-0 STAMFORD BRIDGE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINECHELSEA YAICHAPA TOTTENHAM HOTSPUR 2-0 STAMFORD BRIDGE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
CHELSEA YAICHAPA TOTTENHAM HOTSPUR 2-0 STAMFORD BRIDGE
WENYEJI, Chelsea wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tottenham Hotspur jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London. Mabao ya The Blues yamefungwa na washambuliaji, Muingereza mwenye asili ya Sierra Leon, Trevoh Chalobah dakika ya 24 na Msenegal, Nicolas Jackson dakika ya 72. Kwa ushindi huo, Chelsea inafikisha pointi 51 na kusogea nafasi ya nane, wakati Tottenham Hotspur inabaki na pointi zake 60 nafasi ya tano baada ya wote kucheza mechi 34.
Crested Cranes travelling squad to Algeria
-
Crested Cranes Head Coach Sheryl Botes Ulanda has named the travelling
squad to Algeria ahead of the two international friendly games. The coach
named a ...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment