KIUNGO wa Simba SC, Clatous Chotta Chama amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Sh. Milioni 3 kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi beki wa Yanga, Nickson Kibabage katika mchezo wa baina ya timu hizo Aprili 20 Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam. Bodi ya Ligi imechukua zaidi kwa wachezaji na klabu kwa makosa mbalimbali ya kikanuni ambazo zimeainishwa kwenye taarifa yao kamili. GONGA KUSOMA ZAIDI TAARIFA YA BODI YA LIGI
Preview: Arsenal v Ipswich Town
-
Get all the pre-match team news, stats, quotes, tactics and live TV
coverage in our essential guide to our festive fixture
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment