
Friday, May 31, 2024

TIMU ya soka ya taifa ya wanawake, Twiga Stars leo imetoka sare ya kufungana mabao 2-2 na Mali katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Azam Comp...
KELVİN JOHN AJIUNGA NA TIMU YA ZAMANI YA MACHUPPA DENMARK
Friday, May 31, 2024
MSHAMBULIAJI chipukizi wa Kimataifa wa Tanzania, Kelvin Pius John (20) amejiunga na klabu ya Aalborg BK ya Denmark kwa mkataba wa miaka minn...
BETPAWA YAPIGA ‘AMSHA AMSHA’ MWANZA KUELEKEA FAINALI LİGİ YA MABINGWA ULAYA
Friday, May 31, 2024
Wacheza shoo wakiburudisha wakati wa hamshahamsha ya kuelekea fainali ya ligi ya mabingwa kati ya Real Madrid na Borrusia Dortmund kupitia “...
Thursday, May 30, 2024
AZAM FC TAYARI WAPO ZANZİBAR KUWANIA KOMBE LA CRDB
Thursday, May 30, 2024
KIKOSI cha Azam FC kimewasili visiwani Zanzibar kwa ajili ya Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) maarufu kama CRDB Bank Fe...
YANGA SC WAWASILI ZANZİBAR KUTETEA KOMBE LA TFF
Thursday, May 30, 2024
KIKOSI cha Yanga SC kimewasili visiwani Zanzibar kwa ajili ya Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) maarufu kama CRDB Bank F...
AZAM FC YASAJILI MSHAMBULIAJI MWINGINE MCOLOMBIA
Thursday, May 30, 2024
KLABU ya Azam FC imemtambulisha mshambuliaji Jhonier Blanco, kutoka klabu ya Aguilas Doradas ya Rionegro, kwao Colombia. Blanco aliyezaliwa ...
Wednesday, May 29, 2024
TWIGA STARS YAICHAPA SUDAN KUSINI 3-0 CHAMAZI
Wednesday, May 29, 2024
TIMU ya soka ya taifa ya wanawake, Twiga Stars leo imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Sudan Kusini katika mchezo wa kirafiki wa Kimat...
SHEREHE ZA WASHINDI WA TUZO ZA LIGI KUU ZASOGEZWA MBELE KABISA
Wednesday, May 29, 2024
TUZO za Washindi wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara zitatolewa baada ya mchezo wa Ngao ya Jamii kuashiria upenuzi wa Pazia la msimu mpya, imes...
YANGA SC 4-1 TANZANIA PRISONS (LIGI KUU TZ BARA)
Wednesday, May 29, 2024
SIMBA SC 2-0 JKT TANZANIA (LIGI KUU TZ BARA)
Wednesday, May 29, 2024
YANGA SC 3-0 TABORA UNITED (LIGI KUU TZ BARA)
Wednesday, May 29, 2024
SIMBA SC 1-0 KMC (LIGI KUU TZ BARA)
Wednesday, May 29, 2024
TAIFA STRAS YAENDA INDONESIA KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI NA WENYEJI
Wednesday, May 29, 2024
KIKOSI cha timu ya soka ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kimeondoka leo kwenda Indonesia kwa ajili ya mchezo wa kirafiki na wenyeji, Juni 2...
Tuesday, May 28, 2024
AZAM FC YAIPIKU SIMBA LİGİ YA MABINGWA, AZİZ Kİ MFUNGAJI BORA
Tuesday, May 28, 2024
MSIMU wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara umehitimishwa leo kwa Azam FC kumaliza nafasi ya pili nyuma ya mabingwa, Yanga huku vigogo, Simba SC ...
Monday, May 27, 2024
BIASHARA UNITED YAJISOGEZA KARIBU NA LİGİ KUU, MBEYA KWANZA KUJARIBU TENA MSIMU UJAO
Monday, May 27, 2024
TIMU ya Biashara United imefuzu hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania kupanda Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya kuitoa Mbeya Kwanza kufu...
Sunday, May 26, 2024
MOROCCO AWATEMA SAMATTA NA JOB TAIFA STARS YA KUIVAA ZAMBIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA
Sunday, May 26, 2024
KAIMU Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya wanaume, Hemed Suleiman ‘Morocco’ hajamjumuisha Nahodha, Mbwana Ally Sanatta katika kikosi cha wachezaj...
SHIME AMUITA CLARA LUVANGA TWIGA STARS YA KUCHEZA NA MALI NA SUDAN
Sunday, May 26, 2024
KOCHA Bakari Nyundo Shime amemjumuisha mshambuliaji wa Al Nasr ya Saudi Arabia katika kikosi cha wachezaji 22 cha timu ya taifa ya wanawake,...
YANGA WALIVYOKABIDHIWA KOMBE LA UBINGWA WA 30 LIGI KUU
Sunday, May 26, 2024
KLABU ya Yanga jana ilikabidhiwa Kombe lao ubingwa wa tatu mfululizo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Yanga SC baada ya mechi dhidi ya Tabo...
Saturday, May 25, 2024
AZAM FC FC YASAJILI KIUNGO MPYA MCOLOMBIA
Saturday, May 25, 2024
KLABU ya Azam FC imeendela kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao baada ya kumtambulisha kiungo mpya, Ever Meza iliyemnunua kutoka klab...
NI AHLY MABINGWA TENA AFRIKA, WAICHAPA ESPERANCE 1-0 CAIRO
Saturday, May 25, 2024
TIMU ya Al Ahly imefanikiwa kutwaa tena taji la Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Espérance Sportive de Tunis katika ...
MAN UNITED WAITWANGA MAN CITY 2-1 NA KUTWAA KOMBE LA FA
Saturday, May 25, 2024
TIMU ya Manchester United imefanikiwa kutwaa Kombe la FA England baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya waliokuwa wanashikilia taji hilo, Ma...
FEI TOTO APIGA MBILI AZAM FC YAICHAPA KAGERA SUGAR 5-1 CHAMAZI
Saturday, May 25, 2024
WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam C...
NTIBANZOKIZA AIFUNGIA BAO PEKEE SIMBA YAICHAPA KMC 1-0 ARUSHA
Saturday, May 25, 2024
BAO pekee la kiungo mkongwe, Mrundi Saido Ntibanzokiza dakika ya tatu limeipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu...
YANGA SC YAENDELEZA UMBWAMBA LIGI KUU, YAICHAPA TABORA UNITED 3-0
Saturday, May 25, 2024
MABINGWA mara tatu mfululizo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United katika mche...
TANZANIA BINGWA MASHINDANO YA SHULE ZA AFRIKA KWA WAVULANA
Saturday, May 25, 2024
TANZANIA imefanikiwa kutwaa Kombe la Ubingwa wa Soka kwa Shule za Afrika (ASFC) upande wa wavulana baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Guinea j...
Friday, May 24, 2024
RAIS DK MWINYI AISHUKURU CAF KUIPA ZANZIBAR UENYEJI ASFC
Friday, May 24, 2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameushukuru uongozi wa Shirikisho la Soka Afrika(CAF) kwa kuif...
MOTSEPE AHALALISHA BAO LA AZİZ Kİ LILILOKATALIWA MAMELODI NA YANGA PRETORIA
Friday, May 24, 2024
RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe amesema bao la Yanga lililokataliwa na Refa Dahane Beida wa Mauritania katika mchez...
HÜKÜMÜ YA KESİ YA DITTO DHIDI YA DSTV KUTOLEWA JULAI 16
Friday, May 24, 2024
HUKUMU ya kesi ya madai ya mwanamuziki Lameck Ditto dhidi ya kampuni ya Multchoice Tanzania Limited maarufu DSTV itatolewa Julai 16. Ditto a...
Thursday, May 23, 2024
MABINGWA YANGA WAHUDHURIA BUNGE LA BAJETI YA MICHEZO DODOMA
Thursday, May 23, 2024
MABINGWA wa Tanzania,Yanga SC leo wamehudhuria Bunge la Bajeti na kumshuhudia Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Damas Daniel Ndumbar...
ADEMOLA LOOKMAN APIGA HAT TRICK KUIPA ATALANTA TAJI EUROPA LEAGUE
Thursday, May 23, 2024
MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Nigeria, Ademola Lookman Olajade Alade Aylola Lookman jana amefunga mabao yote dakika ya 12, 26 na 75 kuiwezesh...
DODOMA JIJI FC 0-4 YANGA SC (LIGI KUU TZ BARA)
Thursday, May 23, 2024
Wednesday, May 22, 2024
TABORA UNITED YAAMBULIA SARE KWA IHEFU 1-1 MWINYI
Wednesday, May 22, 2024
WENYEJI, Tabora United wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwan...
AZİZ Kİ APIGA MBILI YANGA YAIBABUA DODOMA JIJI 4-0 JAMHURI
Wednesday, May 22, 2024
MABINGWA, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya wenyeji, Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni y...
FAINALI KOMBE LA TFF AZAM NA YANGA KUPIGWA ZANZIBAR JUNI 2
Wednesday, May 22, 2024
FAINALI ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano ambayo sasa inajulikana kama CRDB Bank Federation Cup itafanyika Uwanja wa N...
MAGWIJI WA SOKA AFRIKA WATOA NASAHA MASHINDANO YA SHULE
Wednesday, May 22, 2024
MAGWIJI wa Afrika, Emmanuel Adebayor (Togo), Daniel Amokachi (Nigeria) na Abdi Kassim Sadalla 'Babbi' (Tanzania) walitembelea hoteli...
SIMBA SC 4-1 GEITA GOLD (LIGI KUU TZ BARA)
Wednesday, May 22, 2024
Tuesday, May 21, 2024
SIMBA SC YAICHAPA GEITA GOLD 4-1 CHAMAZI
Tuesday, May 21, 2024
TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam Comp...
AZAM FC YAIPIGA JKT TANZANIA 2-0 PALE PALE ISAMUHYO
Tuesday, May 21, 2024
TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa...
COASTAL UNION YAICHAPA KAGERA SUGAR 2-1 PALE PALE KAITABA
Tuesday, May 21, 2024
TIMU ya Coastal Union imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Ka...
Monday, May 20, 2024
MASHUJAA YAICHAPA PRISONS 2-1 PALE PALE SOKOINE
Monday, May 20, 2024
TIMU ya Mashujaa FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo U...
MTIBWA SUGAR BADO KIDOGO TU KUIAGA RASMI LİGİ KUU
Monday, May 20, 2024
WENYEJI, Mtibwa Sugar wamelazimishwa sare ya bila mabao na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Manungu C...
IHEFU SC 0-1 YANGA SC (KOMBE LA TFF)
Monday, May 20, 2024
ZAMALEK MABINGWA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
Monday, May 20, 2024
WENYEJI, Zamalek SC wamefanikiwa kutwaa Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa mabao 1-0 dhidi ya Renaissance Sportive de Berkane (R...
Sunday, May 19, 2024
TAIFA STARS YATOA SARE NA SUDAN 1-1 SAUDI ARABIA
Sunday, May 19, 2024
TIMU ya taifa ya Tanzania imetoa sare ya kufungana bao 1-1 na Sudan katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa King Fahd Sport City mjini Ta...
NI MAN CITY MABINGWA ENGLAND MARA YA NNE MFULULIZO
Sunday, May 19, 2024
TIMU ya Manchester City imefanikiwa kutetea tena ubingwa wa Ligi Kuu ya England baada ya kuichapa West Ham United mabao 3-1 leo Uwanja wa Et...
AZİZ Kİ AIPELEKA YANGA FAINALI KOMBE LA TFF, IHEFU ‘YAFA KIUME’
Sunday, May 19, 2024
MABINGWA watetezi, Yanga SC wamefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ‘CRDB Bank Federation Cup’ baada ya us...
USYK ASHINDA KWA POINTI ZA MAJAJI KUPISHANA, FURY ASEMA 'AMEBEBWA' KISA VITA
Sunday, May 19, 2024
BONDIA Oleksandr Usyk wa Ukraine usiku wa jana amesmshinda Muingereza Tyson Fury kwa pointi za majaji kupishana, 2-1 ukumbi wa Kingdom Arena...
Saturday, May 18, 2024
AZAM YATINGA FAINALI KIBABE KOMBE LA TFF, YAITWANGA COASTAL 3-0
Saturday, May 18, 2024
TIMU ya Azam FC imefanikiwa kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano ambayo sasa inatambulishwa kama CRDB Ban...
DODOMA JIJI 0-1 SIMBA SC (LIGI KUU TZ BARA)
Saturday, May 18, 2024
Friday, May 17, 2024
SIMBA YAICHAPA DODOMA JIJI FC 1-0 JAMHURI
Friday, May 17, 2024
VIGOGO, Simba SC wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uw...
Subscribe to:
Posts (Atom)