MKURUGENZI wa Azam FC, Yusuf Bakhresa jana jioni alijumuika na wachezaji, benchi la ufundi na wafanyakazi wa timu kwenye tukio maalum la Iftar lililoandaliwa na uongozi wa timu. Pamoja na kufutaru nao, Bakhresa pia alipata fursa ya kubadilishana nao mawazo kuelekea mechi zijazo za Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara na Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC). GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
FAZ appoints Hauptle as new Copper Queens Coach
-
The Football Association of Zambia (FAZ) has confirmed the appointment of
Swiss national Nora Hauptle as Copper Queens coach on a three year deal.
Haupt...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment